Noa Bongo – Uchumi na Mazingira

Uchumi– Kipindi 10 – Katika maonesho ya biashara duniani


Listen Later

Jane yuko imara na kampuni imeanza tena kufanya vyema, baada ya kurekebishwa na mjomba Sami.Pamoja na hali ya sasa ya kutoelewana, Jane amemchagua kaka yake kuongozana naye katika maonesho ya biashara duniani.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Noa Bongo – Uchumi na MazingiraBy DW.COM | Deutsche Welle