Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.... more
FAQs about Noa Bongo – Uchumi na Mazingira:How many episodes does Noa Bongo – Uchumi na Mazingira have?The podcast currently has 39 episodes available.
March 13, 2014Mti unapoanguka… - Kukatwa kwa misitu barani AfrikaAfrika ina kiwango kikubwa cha ukataji misitu kuliko mabara mengine yote duniani. Hili lina athari kubwa kwa maisha ya Waafrika kama hawa katika mchezo wetu wanaoishi katika kambi ya wakimbizi baada ya vita vya kikatili....more13minPlay
August 06, 2013Anasa ya Kuazima – Hatari ya Kuchukua MkopoTatizo linaanzia na ari ya kutaka kumiliki baiskeli mpya ya kifahari. JD hana fedha za kutosha lakini anashindwa kuvumilia na kuchukua mkopo – ingawa hajui atakavyoulipa mkopo huo. Je, somo hili litamuathiri vipi JD?...more12minPlay
August 06, 2013Ufisadi - Tembo chumbaniIwe shuleni, kazini au hata barabarani, familia ya Odhiambo inajikuta ikishinikizwa na athari za ufisadi licha ya juhudi za kutaka kuishi maisha huru yasiyo na dosari ya uovu huu. Watawezaje kuepukana na vitendo hivyo?...more12minPlay
May 10, 2012Wajasirimali wa kiafrika – Wenye mafanikio na wenye kuwajibikaHulala kidogo sana, hawafahamu neno „starehe“ lakini wanaipenda kazi yao na wanajitoa kwa jamii wanamoishi. Hili ni jambo linalowaunganisha wafanyabiashara wote wa Kiafrika tunaowatambulisha katika mfululizo wetu mpya....more12minPlay
May 25, 2011Utandawazi - Rafiki na adui wa AfrikaVipindi vya Noa Bongo vinachunguza kwa kina athari za utandawazi barani Afrika. Kupitia vipindi vyetu wasikilizaji wanaweza kukutana na watu wanaochangia kuufanikisha utandawazi na wale wanaoathiriwa na utandawazi....more10minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 10 – Habari nzuri sanaKatika awamu ya mwisho ya safari, tunaona mabadiliko katika hadithi wakati Tingo anapoonyesha nia ya dhati katika chama. Baki na Zeina wanapatana kwa kinywaji. Tujiunge nao!...more12minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 09 – Fikra zilizogubikwa na wingu jeusiTingo hafurahii ufanisi wa chama na huenda akawa na njama fulani. Hii itakuwa na maana gani kwa mashujaa wetu?...more13minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 08 – Furaha ya mapenziHadari amebadili nia na Baki amebadili mipango – hatua inayomfurahisha sana Zeina. Tufuatilie mabadiliko yote yanayoendelea....more13minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 07 – Kushindwa kwa rushwaKatika kipindi hiki Baki anapelekwa hospitalini – nini kilichotokea? Lakini kwanza tutafute jinsi chama kinavyoendelea na vipi mashujaa wetu chipukizi wanavyokabiliana na changamoto....more13minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 06 – Kukabiliwa na vikwazo huku ukiniwa na shinikizoKwa nini Ben anakataa pendekezo zuri kutoka kwa Tingo, ingawa chama kinahitaji fedha? Kipindi kinapofikia tamati, kitu kingine kinaendelea kati ya Ben na Nana....more13minPlay
FAQs about Noa Bongo – Uchumi na Mazingira:How many episodes does Noa Bongo – Uchumi na Mazingira have?The podcast currently has 39 episodes available.