Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.... more
FAQs about Noa Bongo – Uchumi na Mazingira:How many episodes does Noa Bongo – Uchumi na Mazingira have?The podcast currently has 39 episodes available.
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 05Mkutano na mwanabiolojia wa viumbe wa baharini unadhihirisha taarifa za kutisha kuhusu athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Lakini mivutano inazidi miongoni mwa marafiki zetu na juhudi za kuwatisha! Je, watafanya nini?...more12minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 04Marafiki zetu wanakwenda kwenye wingu kubwa la moshi yaani mjini kukutana na mwanasayansi wa mazingira. Kwa bahati mbaya wanaounga mkono ujenzi wa kiwanda cha umeme wameanza kuzitatiza juhudi za jopo la vijana!...more12minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 03Je athari za kubadilika kwa hali ya hewa ni zipi? Ni nani anayenufaika na anayepata hasara? Na je marafiki zetu chipukizi wanapanga kufanya nini kuhusu kiwanda cha umeme? Tega sikio!...more12minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 02Lorna anajifunza kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa. Wakati huo huo, Alex anagundua kile ambacho babake na mshirika wake wa kibiashara wanafikiri ni muhimu zaidi – kiwanda cha umeme au mazingira. Unaweza kuagua?...more12minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 01Jiunge nasi wakati tunapokutana na vijana wanne chipukizi - Joshua, Carol, Lorna na Alex ambao wanasikia mipango ya ujenzi wa kiwanda cha umeme. Pia tutachunguza athari za gesi chafu za viwandani. Je, kuna uhusiano?...more12minPlay
November 08, 2010Uchumi– Kipindi 10 – Katika maonesho ya biashara dunianiJane yuko imara na kampuni imeanza tena kufanya vyema, baada ya kurekebishwa na mjomba Sami.Pamoja na hali ya sasa ya kutoelewana, Jane amemchagua kaka yake kuongozana naye katika maonesho ya biashara duniani....more12minPlay
November 08, 2010Uchumi – Kipindi 7 – Shehena ya kwanzaKila kitu kiko tayari kwa shehena ya karanga kusafirishwa kwa njia ya bahari.Katika ghala la kukodi, kila mtu yuko katika pilikapilika...more11minPlay
November 08, 2010Uchumi– Kipindi 9 – KuangukaJane anarudi kutoka Ujerumani na Uswis akiwa na furaha kwani amefanikiwa kupata wateja wapya.Lakini anaporejea ofisini anakuta wafanyakazi wake wote wamegoma....more11minPlay
November 08, 2010Uchumi– Kipindi 8 – Kati ya viwanja viwili vya ndegeBiashara ya mapacha hao imepanuka.Katika ofisi mpya za kampuni hiyo, Jane anapokea wageni....more11minPlay
FAQs about Noa Bongo – Uchumi na Mazingira:How many episodes does Noa Bongo – Uchumi na Mazingira have?The podcast currently has 39 episodes available.