Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.... more
FAQs about Noa Bongo – Uchumi na Mazingira:How many episodes does Noa Bongo – Uchumi na Mazingira have?The podcast currently has 39 episodes available.
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 5 - KuniAfrika inategemea kuni kwa ajili ya kupikia lakini mahitaji ya mkaa yameharibu misitu barani humo. Hebu tuangalie njia mbadala kama vile kupika chakula kwa kutumia joto na mwanga wa jua....more10minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 4 – Magari na BaiskeliGari ni chanzo kikuu cha uchafuzi wa hali ya hewa. Hutoa hewa ya kaboni inayochangia ongezeko la ujoto duniani. Gundua faida za usafiri wa umma pamoja na baiskeli....more10minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 3 –Nyama poriShughuli za kibinaadamu huwa na madhara kwa maisha ya wanyamapori. Tunajua athari za biashara haramu ya nyamapori ambayo ni ya kawaida Afrika. Ni viumbe gani ambao wako katika hatari ya kutoweka?...more10minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 2 – Elimu ya wadudu waharibifuElimu ya wadudu waharibifu inaweza kuongeza mazao yetu lakini ina madhara makubwa kwa mazingira. Tutaona jinsi sumu ya kuua wadudu inavyojipenyeza kwenye ardhi na maji. Tutajifunza jinsi ya kufanya kilimo cha zao moja....more10minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 1 - TakatakaSuala la takataka limekuwa ni tatizo sugu. Na kwa serikali za Afrika kulishughulikia suala hilo ni jukumu kubwa. Tutaelezea hatari ya mifuko ya plastiki kwa viumbe wa baharini, jinsi inavyoharibu mazingira ya majini....more10minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 10Bi Kimasi anaeleza motisha wake wa kupigania nishati zinazoweza kutumika tena na tena. Bodi ya kitaifa inafanya mkutano na waandishi wa habari – Je tangazo lao litalifurahisha jopo letu? Tega sikio!...more12minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 09Pendekezo la marafiki zetu linakaribia kukamilika. Lakini je hiyo ina maana wanaweza kuishawishi bodi ya kitaifa ya umeme? Na kwa nini wazo la Alex kuhusu nishati ya upepo linapingwa na wenzake? Haichafui mazingira, ama?...more12minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 08Ng'ombe wana uhusiano gani na mabadiliko ya hali ya hewa?Jifunze huku marafiki zetu wakiendelea na juhudi zao. Lakini wale wanaounga mkono ujenzi wa kiwanda cha umeme si rahisi kushawishika! Je wana njama gani?...more12minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 07Wasiwasi zaidi unachomoza! Lakini kwa bahati nzuri, ufanisi nao unabisha hodi. Juhudi zao hatimaye zitafaulu wakati wanapopata msaada usiotarajiwa. Tega sikio!...more12minPlay
March 16, 2011Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 06Nishati zinazoweza kutumika tena na tena ni mada pana, kama marafiki zetu wanavyokaribia kugundua. Hakuna anayeonekana kuwa na ujuzi kwa sasa. Jopo lao linahitaji kujiandaa kwa kibarua kigumu. Je, wataweza kusonga mbele?...more12minPlay
FAQs about Noa Bongo – Uchumi na Mazingira:How many episodes does Noa Bongo – Uchumi na Mazingira have?The podcast currently has 39 episodes available.