Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.... more
FAQs about Noa Bongo – Uchumi na Mazingira:How many episodes does Noa Bongo – Uchumi na Mazingira have?The podcast currently has 39 episodes available.
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 05 – Umuhimu gani wa kuwa sahihi iwapo uko peke yakoMpaka sasa kila kitu kinaonekana kwenda kulingana na mpango. Wanakijiji wanauonaje mradi huo? Tunaungana na mashujaa watatu katika mkutano na Hadari na tusikilize huku wakifanya mkutano wao wa kwanza wa mwaka....more13minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 04 – Ndoto ya kila mwanamkeHatua kwa hatua, marafiki zetu wanapiga hatua wanapojaribu na kuungwa mkono na wanakijiji. Hata hivyo uhusiano kati ya Baki na Zeina unaonekana ukichukua mkondo tofauti....more13minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 03 – Kipato cha kila sikuBaki, Zeina na Ben wanataka kuanza kwa ufanisi. Kwa bahati mbaya kurejea kijijini huenda kusiwe rahisi kama inavyoonekana na si kila mtu anafurahia kuwaona....more13minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini – Kipindi 02 – Kuwa na majukumu uhamishoniUngana na marafiki zetu wanapofikiria kuvumbua mpango wa biashara kwa chama chao cha kilimo. Lakini Baki ana jambo lengine akilini mwake....more13minPlay
March 16, 2011Uhamiaji mijini– Kipindi 01 –Bila kazi mjini hakufaiKatika vipindi hivi vipya, Ben, Baki na Zeina watatueleza matukio yasiyo ya kawaida wanapoamua kuondoka mjini kwenda kijijini kutimiza ndoto zao....more13minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 10 – Vyakula vya bahariniKwa nini ni muhimu kuwafundisha wavuvi kutumia nyavu ili kuwalinda kaa? Juhudi gani zinaweza kuchukuliwa kuwalinda Papa? Sikiliza na ufahamu zaidi juu ya hilo na mengine....more10minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 9 – Uvuvi wenye madharaKipindi hiki kinazungumzia uvuvi wa kutumia baruti unavyoathiri matumbawe ambayo yanahitaji karne kujengeka, lakini yanaweza kuharibiwa kwa sekunde moja tu. Nini kinachowakumba wanyama na mimea ya baharini?...more10minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 8 – JangwaMajangwa barani Afrika yamekuwa yakiongezeka. Hii ni kutokana na shughuli za kibinaadamu duniani kwa mfano ongezeko la malisho pamoja na ukataji miti. Je, ni jinsi gani wakulima wanawajibika kwa hali hiyo?...more10minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 7 – Ukataji mitiUkataji miti umesababisha madhara makubwa kwa mazingira. Bara la Afrika limepoteza misitu mingi kuliko bara lingine lolote. Fahamu kuhusiana na biashara haramu ya mbao pamoja na madhara yake....more10minPlay
March 16, 2011Mazingira Afrika – Kipindi 6 –Nishati EndelevuMahitaji ya mafuta, mkaa na gesi bado ni makubwa. Lakini vyanzo vya nishati hii si vya kudumu, kwa hivyo tutapata wapi nishati hii? Tutaangazia nishati nyingine mbadala na inayoweza kutumika tena kama vile upepo na jua....more10minPlay
FAQs about Noa Bongo – Uchumi na Mazingira:How many episodes does Noa Bongo – Uchumi na Mazingira have?The podcast currently has 39 episodes available.