Noa Bongo – Uchumi na Mazingira

Ufisadi - Tembo chumbani


Listen Later

Iwe shuleni, kazini au hata barabarani, familia ya Odhiambo inajikuta ikishinikizwa na athari za ufisadi licha ya juhudi za kutaka kuishi maisha huru yasiyo na dosari ya uovu huu. Watawezaje kuepukana na vitendo hivyo?
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Noa Bongo – Uchumi na MazingiraBy DW.COM | Deutsche Welle