Amedeus Live Podcast

Uchunge Ulimi Wako


Listen Later

Maisha yako yatachukua uelekeo wa ulimi (kinywa) wako. Anza kuanzia leo kuongea maneno sahihi kuhusiana na maisha yako ya kila siku na kesho au baadae ya maisha yako. Jifunze zaidi katika TeeVo hii namna kuishi kwa ushindi kila siku kwa kutumia ulimi wako kwa usahihi.
Waambie wengine kuhusu TeeVo na wasambazie wanafunzi na teenagers wenzako popote pale walipo.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael