Amedeus Live Podcast

Ufalme Unaoendeshwa kwa Maneno


Listen Later

Maneno ni Vitu....
Maneno ni malighafi Muhimu na ya msingi Sana katika Ufalme wa Mbinguni...
Maneno yanaweza kuamua hatma yako iwe nzuri au mbaya....
Maneno yanaweza kubadili mustakhabali wa maisha yako kabisa....
Elewa umuhimu wa maneno leo na uyatumie ipasavyo katika Ufalme wa Mbinguni ambamo Leo hii mimi na wewe ni washirika na wazawa.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael