Maombi yenye matokeo hayategemei hisia, bali kanuni za kiroho.
Mungu haguswi na machozi, bali na imani inayotenda kazi kwa Neno lake.
Katika mafundisho haya, utagundua nguvu ya Neno la Mungu linaloumba, kuponya na kushinda giza.
Utaona jinsi kukaa katika Neno kunavyofungua mlango wa majibu ya maombi.
Maisha Yenye Ufanisi wa Maombi — Siri ya kuomba na kuona matokeo!