Uzima, afya njema, amani tele, ustawi na ushindi endelevu ni haki Yako ndani ya Kristo.
Tumia Kinywa chako kuthibitisha haki hii kila siku katika kila eneo la Maisha Yako.
Jiandikishe leo kushiriki ibada mubashara za uponyaji pamoja na mtumishi wetu wa Mungu Mchungaji Chris Oyakhilome, tarehe 15, 16 na 17 ya mwezi March 2024.
Tembelea tovuti hii:
www.healingstreams.tv/LHS