Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Ukweli FM Podikasiti:How many episodes does Ukweli FM Podikasiti have?The podcast currently has 10 episodes available.
July 05, 2024Jamii imetakiwa kushiriki katika ulinzi na usalama wa mtoto.Afisa Ustawi wa Jamii mkoani Morogoro bibi Magreth Henjewele na wadau kutoka shirika la CDO Mvomero wakizungumzia umuhimu wa jamii…The post Jamii imetakiwa kushiriki katika ulinzi na usalama wa mtoto. first appeared on Ukweli FM....more52minPlay
June 20, 2024Utunzaji wa Mazingira Kata ya BomaSuala la utunzaji wa mazingira katika kata ya Boma Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa vipaumbele vinavyooneshwa ambapo hadi sasa…The post Utunzaji wa Mazingira Kata ya Boma first appeared on Ukweli FM....more30minPlay
June 20, 2024Ulinzi na Usalama wa MtotoIli jamii iweze kuwa salama suala la ulinzi wa mtoto ni jukumu la kila mmoja. Jukumu hili hapaswi kuachiwa mtu…The post Ulinzi na Usalama wa Mtoto first appeared on Ukweli FM....more2minPlay
June 14, 2024Vijana wanavyojiajiri kwa kuokota chupa za plastiki MorogoroKundi hili ni moja kati ya kundi linalokutana na kadhia nyingi wanapopita katika mitaa mbalimbali kujikusanyia taka za plastiki hasa chupa za maji kama njia mojawapo ya kujiingizia kipatoThe post Vijana wanavyojiajiri kwa kuokota chupa za plastiki Morogoro first appeared on Ukweli FM....more21minPlay
June 14, 2024Taa za umemejua zilivyosaidia kupunguza migogoro ya binadamu na tembo katika kijiji cha Kanyenja mkoani MorogoroWakazi wa Kijiji cha Kanyenja wanasema licha ya tembo kufanya uharibifu katika mashamba yao kila mwaka wanatambua kuwa binadamu na wanyamapori wanaishi katika dunia moja, hivyo ni muhimu kujua mipaka wanapohusiana.The post Taa za umemejua zilivyosaidia kupunguza migogoro ya binadamu na tembo katika kijiji cha Kanyenja mkoani Morogoro first appeared on Ukweli FM....more31minPlay
June 12, 2024Miradi ya kiuchumi Inavyosaidia Kuendeleza ubora wa hifadhi ya milima ya Udzungwa...more19minPlay
June 12, 2024Vikoba vilivyo saidia kuboresha maisha ya wanawake waishio usharoba wa Nyerere Selous -UdzungwaMorogoro. “Nimejenga kwa kutumia Vikoba, nimesomesha watoto wangu kupitia Vikoba na bado naendesha shughuli zangu ndogo ndogo za ujasiriamali hasa…The post Vikoba vilivyo saidia kuboresha maisha ya wanawake waishio usharoba wa Nyerere Selous -Udzungwa first appeared on Ukweli FM....more29minPlay
FAQs about Ukweli FM Podikasiti:How many episodes does Ukweli FM Podikasiti have?The podcast currently has 10 episodes available.