Amedeus Live Podcast

Ulikuja kwa Kusudi


Listen Later

Rhapsodi ya Uhakika - Nov 5, 2020. 
1Jn 3:7  Watoto wadogo, mtu na asiwadanganye; atendaye haki yuna haki, kama yeye alivyo na haki; 1Jn 3:8  atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael