Amedeus Live Podcast

Umealikwa kwenye Sherehe


Listen Later

Elewa kwamba unyakuo upo karibu sana kuliko wengi wanavyodhani.
Hakikisha unafanya yote yanayopasa ili uwe sehemu ya unyakuo huu wa kwanza!
Unyakuo huu ni kwa ajili ya kudhuria Sherehe ya kipekee Sana, bonge la "party", karamu ya kifalme, yenye hadhi ya Kiungu!
Natazamia kukuona kwenye karamu hii isiyokuwa ya kawaida.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael