Kiswahili Kitukuzwe ni kipindi kinacholenga kukuza matumizi ya lugha ya Kiswahili kupitia burudani na unyooshaji wa misamiati, sarufi, fasihi na yote yanayofungamana na Kiswahili. Andayi na Kadzo ndio wanaokuletea kipindi hiki. podscan_0hiOe43rAeooiHj2W2wMbpMzDLWRxKgb