Sign up to save your podcasts
Or

Wengi wamekuwa wahanga wakubwa wa unyanyasaji wa kijinsia, lakini kuna uwezekano hawajui kama kuna unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni.
Je watu wana elimu ya unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni? Nani wa kuwasaidia pale wanapopatwa na dhahama kama hiyo.
Sikiliza episode hii
By VENANCE JOHNWengi wamekuwa wahanga wakubwa wa unyanyasaji wa kijinsia, lakini kuna uwezekano hawajui kama kuna unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni.
Je watu wana elimu ya unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni? Nani wa kuwasaidia pale wanapopatwa na dhahama kama hiyo.
Sikiliza episode hii