Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Wengi wanaeleza na kutoa taarifa za kijamii lakini wanashindwa kuonyesha ukubwa wa tatizo hilo katika jamii....Karibu sana FIKRA TUNDUIZI upate majadiliano, midahalo, mada, taarifa na habari zinazoig... more
FAQs about FIKRA TUNDUIZI:How many episodes does FIKRA TUNDUIZI have?The podcast currently has 8 episodes available.
August 19, 2024Hii ni trela tu mzigo ulio jikoniMjadala unaoandaliwa ni wa moto sana. Lanini pia nawe waweza kusema mada ambayo ungependa tuangazie kwenye mfululizo wa vipindi vyetu nasi tutaifanyia kazi haswaa! ...more1minPlay
December 05, 2023Chimbuko la mgogoro wa "Hamas" na IsraelKwanini "Hamas" hawakubali uwepo wa taifa la Israel? Huu ni uchambuzi na ufafanuzi wa kina kutoka katika mitazamo miwili.Mtazamo wa kwanza ni wa kidunia Mtazamo wa pili ni wa kiroho; ambapo Biblia ilishatabili juu ya vita hii....more34minPlay
June 01, 2022Unyanyasaji wa kijinsia mtandaoniSheria za Tanzania ni madhubuti kiasi gani kudhibiti unyanyasaji mtandaoni...more5minPlay
May 27, 2022UNYANYASAJI WA KIJINSIA MTANDAONIWengi wamekuwa wahanga wakubwa wa unyanyasaji wa kijinsia, lakini kuna uwezekano hawajui kama kuna unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni.Je watu wana elimu ya unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni? Nani wa kuwasaidia pale wanapopatwa na dhahama kama hiyo.Sikiliza episode hii--- Send in a voice message: https://anchor.fm/fikratunduizi/message...more5minPlay
January 09, 2022Kujiuzulu kwa spika wa Tanzania Job Yustino NdugaiBaada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuandika barua ya kujiuzulu mengi yamesemwa, wengine wakipongeza kwamba huo ni ukomavu wa kisiasa, wengine wakisema ni sahihi kwa kuwa ni uwajibikaji kwa kiongozi huku wangine wakisema utaratibu haujafuatwa kwani ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama badala ya barua ya kujiuzulu kuelekezwa kwa bunge.Bw Edwin Soko ni Mchambuzi, Mtalaam wa utawala na Mjuzi wa sheria yeye anayo maoni gani ?...more25minPlay
September 01, 2021Mgombea huru nchini TanzaniaNchi nyingi barani Afrika katika katiba zao zimeruhusu mgombea huru ambae halazimiki kudhaminiwa na chama chochote ili kuwa mgombea. Nchi kama Uganda, Namimibia, Tunisia na nyinezo zinakipengele hicho katika Katiba, je kwanini tanzania haiko tayari licha ya baadhi ya watu kuhitaji uwepo wa ngombea huru?...more11minPlay
November 03, 2020Mapinduzi nchini MaliNini cha kujifunza baada ya mapinduzi nchini Mali. Kwanini mapinduzi mengi yameshamiri Afrika ?...more50minPlay
October 08, 2020WANAWAKE KATIKA SIASA NA UONGOZIChama cha wanahabari wanawake Tanzania (TAMWA) kimeoa magunzo kwa waandishi wa habari wa redio za kijamii 50 kutoka mikoa 17 ya Tanzania kwa ajili ya kuwaongezea ujuzi wanahabari jinsi gani vyombo vya habari vinaweza kuonesha ukubwa wa tatizo wakati wa kutoa taarifa za wanawake ili kuionesha jamii na serikali ukubwa wa tatizo na madhara ya kutokuwa na wanawake katika siasa na uongozi. #WanawakeWanawezaWapeFursa...more5minPlay
FAQs about FIKRA TUNDUIZI:How many episodes does FIKRA TUNDUIZI have?The podcast currently has 8 episodes available.