Je Unataka kuwa mwerevu, mwenye utambuzi wa hali ya juu wa mambo yote ya kiroho na kimweli!? Basi unahitaji kulitafakari neno la Mungu usiku na mchana.
Neno la Mungu linauwezo wa kukupa maarifa, Werevu, mtazamo, fikra na uwezo wa ufahamu wa juu sana kuliko malighafi nyingine yoyote duniani. Liendee neno na litabadilisha kabisa maisha yako, katika namna ya ubora na ukuu!