Sign up to save your podcasts
Or

ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia.
Usipitwe na uhondo huu.
Ungana nasi katika mitandao ya kijamii
Instagram: https://www.instagram.com/ongearadioprogramme/
Twitter: https://twitter.com/ongea_radio
Facebook: https://web.facebook.com/OngeaRadioProgramme/
TikTok: https://vm.tiktok.com/JjgBxXp/
WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ICZUIJg4qxRFGCIqOZ8RSs
#ONGEA #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYakoHabari,
Karibu kusikiliza kipindi cha tamthilia ya redio cha ONGEA.
ONGEA ni kipindi cha redio kilichoandaliwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti UKIMWI Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na Shirika la UNICEF, pamoja na wadau wengine.
ONGEA ni tamthilia ya redio inayoelezea maisha ya vijana (waliobuniwa na kupewa uhusika tofauti) wenye umri wa miaka 15-19, pamoja na walezi wao.
Inalezea hadithi juu ya maamuzi yao, ndoto, urafiki, changamoto katika jamii ambapo kusitisha masomo, magonjwa ya kuambukiza (UKIMWI), mimba za utotoni, upungufu wa damu, na hedhi salama ikiwa bado ni changamoto kubwa.
Kipindi cha ONGEA kinawafikishia vijana taarifa sahihi juu ya kujikinga na kudhibiti matatizo yanayohusiana na afya ya uzazi, VVU na UKIMWI, lishe bora, na unyanyasaji wa kijinsia.
Ili kuwa karibu nasi unaweza Kutufatilia katika mitandao yetu ya kijamii Instagram, Twitter, Facebook, LinkedIn, Telegram, TikTok, na WhatsApp: 0621127575.
#ONGEA #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYako
By ONGEAONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia.