Karibu michongopodcast, katika episode hii tunajadili uwekezaji halal yani uwekezaji unaofata kanuni za dini ya kiislam, tupo na mgeni wetu bwana Salum Awadh akiwa ni mtendaji mkuu wa SSC captal, utapata fursa ya za uwekezaji zinazokubaliana na maadili ya kiislam.karibu tujifunze zaidi.