Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Welcome to Michongopodcast, we are passionate about exploring the diverse realms of finance, entrepreneurship, and digital opportunities. Our Podcast serves as a platform for knowledge sharing, inspir... more
FAQs about Michongo podcast:How many episodes does Michongo podcast have?The podcast currently has 8 episodes available.
January 19, 2024Fahamu kwa undani kuhusu cryptocurrencyKaribu michongopodcast, leo tunaongelea kuhusiana na cryptocurrency tukiwa na mtaalaam wa blockchain Eng Kandenda balete akitufahamisha zaidi karibuni....more34minPlay
January 11, 2024Uwekezaji Halal kwa kufata kanuni za dini.Karibu michongopodcast, katika episode hii tunajadili uwekezaji halal yani uwekezaji unaofata kanuni za dini ya kiislam, tupo na mgeni wetu bwana Salum Awadh akiwa ni mtendaji mkuu wa SSC captal, utapata fursa ya za uwekezaji zinazokubaliana na maadili ya kiislam.karibu tujifunze zaidi....more35minPlay
November 05, 2023Uwekezaji katika hatifungani.karibu katika sehemu ya tano ya tukiongelea uwekezaji katika hatifungani mgeni wetu ni afisa mtendaji wa exodus advisory Bw, Ramadhan Kagwandi akituelezea zaidi kuhusu uwekeza katika hatifungani....more36minPlay
October 21, 2023Uwekezaji Faida fundKaribu katika episode ingine ya michongo podcast, katika season hii ya michongo ya uwekezaji tutakua tunaongelea uwekezaji faida fund tupo na afisa masoko Mr Obadia Erasto akituelezea zaidi kuhusu faida fund na jinsi ya kuwekeza. ...more46minPlay
October 16, 2023Uwekezaji katika mifuko ya UTT amisUTT amis ni ufupisho wa Unit Trust of Tanzania asset management and investment services ikiwa ni kampuni inayojohusisha na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja, kwa sasa kuna mifuko sita unaweza kusikiliza episode ya podcast hii kuelewa kuhusiana na mchongo huu wa uwekezaji UTT amis....more57minPlay
October 07, 2023Uwekezaji katika hisa.Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni fulani, uwekezaji katika hisa ni kati ya uwekezaji muhimu sana katika fedha kwa maana ni njia ya kupata kipato cha mpito, mtaalamu na mchambuzi wa maswala ya uwekezaji kutoka Orbit securities anatuelezea kuhusiana na uwekezaji kwenye hisa karibu kwenye mchongo wa Uwekezaji kwenye Hisa...more51minPlay
September 30, 2023Elimu ya fedha/Personal finance.Karibu michongo podcast, sehemu yetu ya kwanza inazungumzia elimu ya fedha kabla ya kuingia katika Uwekezaji, ni muhimu kujua elimu ya fedha tupo na mtaalamu ambaye ni Edmund Munyagi personal finance coach akitufahamisha kuhusiana na elimu ya fedha binafsi yani personal finance. Tembelea tovuti yetu www.michongopodcast.comkwa taarifa zaidi unaweza kusubcribe kupata maudhui zaidi kupitia link hapo chini unaweza kutusurport kupitia Voda lipa namba 5859111...more55minPlay
June 19, 2023Episode “Zero” Intro.In this episode we introduce Michongopodcast, a podcast about finance, Entrepreneurship and Digital economy. First season “Michongo ya uwekezaji” coming soon…...more6minPlay
FAQs about Michongo podcast:How many episodes does Michongo podcast have?The podcast currently has 8 episodes available.