UTT amis ni ufupisho wa Unit Trust of Tanzania asset management and investment services ikiwa ni kampuni inayojohusisha na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja, kwa sasa kuna mifuko sita unaweza kusikiliza episode ya podcast hii kuelewa kuhusiana na mchongo huu wa uwekezaji UTT amis.