Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni fulani, uwekezaji katika hisa ni kati ya uwekezaji muhimu sana katika fedha kwa maana ni njia ya kupata kipato cha mpito, mtaalamu na mchambuzi wa maswala ya uwekezaji kutoka Orbit securities anatuelezea kuhusiana na uwekezaji kwenye hisa karibu kwenye mchongo wa Uwekezaji kwenye Hisa