Yesaya Software Podcast

Uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online


Listen Later

Hey, Mambo vipi,

Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online. Mid this year niliamua kufanya refresh ya tools ninatumia hapa Yesaya Software (camera, light and mixer) na nilitamani kufanya manunuzi online based on specific models ambazo nilipata recommendations kwa watu wengi online.

Ninaweza kusema ni kipindi cha excitement, pressure, maumivu na disappointment.

Nitakusimulia uzoefu niliopata na maamuzi niliyofikia endapo nitafikiria kuagiza tena mzigo online. Uzoefu wangu na experience hii ni kwa e-commerce websites mbili kubwa ya Amazon na eBay.

Hii ni Yesaya Software Podcast episode no 31.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings