Yesaya Software Podcast

Uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online II


Listen Later

Hey, Mambo vipi,

Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online sehemu ya pili. Kwenye toleo lilipita nilikueleza maandalizi niliyofanya kabla sijaagizo mzigo. Nilikueleza niliapanga kuagiza mzigo kupitia Amazon na eBay kutokana na maoni mbalimbali niliyopata. Pia njia ya kusafirisha mzigo kupitia MyUs.com na namna nilivyofunga sanduku la posta kiganjani kupitia SmartPosta.

Leo tutaendelea nitakupa experience yangu ya manunuzi online kupitia Amazon na eBay kisha kusafirisha mzigo kuja bongo.

Hii ni Yesaya Software Podcast episode no 32.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings