Living Theology

VITU VYOTE NI KWA YESU


Listen Later

Vitu vyote vimekabidhiwa kwangu na Baba yangu: na hakuna mtu amjuaye Mwana, ila Baba. MATHAYO 11:27
Bwana Yesu Kristo alifanya madai yafuatayo ya kushangaza kuhusu Yeye Mwenyewe: “Vitu vyote nimekabidhiwa na Baba yangu: na hakuna mtu amjuaye Mwana, ila Baba.  Hebu fikiria,
” Hapa Kuna mtu anazungumza. Ukimtazama unaona kuwa Yeye ni mtu. Yeye ana kundi linalosikiliza mafundisho Yake. Wamekuwa pamoja Naye akisafiri kwenda na kurudi katika nchi ya kale ya Palestina. Mwanadamu miongoni mwao.
Kisha anatangaza, "Vitu VYOTE viko mikononi mwangu,"  hakika Mungu Baba amanipa!
Ni mtu yupi huyu anayezungumza?
Anasema kwamba Yeye ni kwa namna ya kipekee Mwana wa Mungu. Katika Yohana mlango wa 5 Wayahudi walimgeukia kwa sababu alidai Mungu kama Baba yake na akasema kwamba alidai usawa na Mungu.  Sisi tumeuzoea sana ukweli huu bila kutushangaza. Hatari hapa ni kushindwa kutambua na kukumbuka kwamba Yesu Kristo alikataliwa kwa madai haya. Mtu huyu alikuwa duniani na alizaliwa Bethlehemu. Alifanya kazi ya seremala huko Nazareti, na aliwaambia watu kwamba Yeye alikuwa Mwana wa Mungu kwa njia ambayo hakuna mwengine alifanya. Tuma mini tukijia vyote viko mikononi mwake.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Living TheologyBy Brendon Naicker

  • 3
  • 3
  • 3
  • 3
  • 3

3

1 ratings