Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries... more
FAQs about Voice of America:How many episodes does Voice of America have?The podcast currently has 30 episodes available.
May 28, 2024Biden na Trump watafuta kura za wanawake - Mei 28, 2024Wapiga kura wanawake ni zaidi ya nusu ya wapigakura wote hapa Marekani na katika uchaguzi wa mwaka 2024 kura zao zimekua muhimu kwa wagombea kiti cha rais hawa kutokana na suala la utuaji mimba na haki za uzazi....more4minPlay
December 19, 2023Moise Katumbi afanya kampeni ya uchaguzi Bukavu - Desemba 19, 2023Kampeni ya uchaguzi ikiwa imefikia wiki yapili Nchini DRC, Mgombea Moise Katumbi amewasili mjini Bukavu kujieleza mbele ya wakazi....more3minPlay
December 19, 2023Kampeni za wabunge DRC na kero lililojitokeza kwa baadhi ya watu - Desemba 19, 2023Kumesalia siku 9 pekee kabla ya wapiga kura wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kwenda kuwachagua wabunge wakitaifa, majimbo pamoja na kumchagua raisi mpya....more6minPlay
December 19, 2023Mukwege aelezea kuhusu Mpango wake endapo atachaguliwa - Desemba 19, 2023Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatazamiwa kufanya uchaguzi wa rais Desemba 20, Sikiliza mpango wa mmoja wa wagombea Mukwege endapo atachaguliwa....more3minPlay
July 28, 2023JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Julai 28, 2023Wiki hii tunaangazia mkutano kati ya rais wa Russia Vladimir Putin na viongozi wa nchi za Afrika, mapinduzi nchini Niger na Maandamano nchini Israel.Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Kennes Bwire...more21minPlay
December 12, 2022Rais Biden ni mwenyeji wa viongozi kutoka bara zima la Afrika wakiwa mjini Washington kwa mkutano wa viongozi wa Afrika na Marekani - Desemba 12, 2022Mkutano huo utaonyesha dhamira ya kudumu ya Marekani kwa Afrika na utasisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya Marekani na Afrika na kuongeza ushirikiano katika vipaumbele vya pamoja vya kimataifa katika kukabiliana na changamoto za haraka zaidi na kuchukua fursa tunazokabiliana nazo sote...more30minPlay
August 04, 2022WASIFU WA RAILA AMOLO ODINGA.mp3 - Agosti 04, 2022Mwaka huu, anawania nafasi ya urais kwa mara ya tano, baada ya kutofanikiwa katika azma yake ya kuliongoza taifa hilo kwa mara nne, katika chaguzi za awali ambazo, baadhi ziligubikwa na utata....more11minPlay
August 04, 2022Uchaguzi Mkuu 2022: Miungano ya vyama vya kisiasa Kenya - Agosti 04, 2022Katika mfululizo wa makala yetu kuhusu uchaguzi wa Kenya, leo tunaangazia miungano ya kisiasa, baina ya vyama mbalimbali, baadhi vikiwa na itikadi au sera zinazowiana, na vingine vikiungana kwa kila kinachoelezwa kama sababu ya kutafuta uongozi wa kisiasa tu....more11minPlay
December 07, 2020Absalom Kibanda apongeza uwamuzi wa ACT kujiunga na serikali - Desemba 07, 2020Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Tanzania Absalom Kibanda anasema amefarijika na uwamuzi wa ACT Wazalendo kujiunga na serikali, na huwenda ni somo walopata baada ya kususia uchaguzi wa 2015 na kutoshiriki kwenye serikali zilizopita....more6minPlay
December 07, 2020Jussa atetea uwamuzi wa ACT-Wazalendo kuijunga na serikali Zanzibar - Desemba 07, 2020...more8minPlay
FAQs about Voice of America:How many episodes does Voice of America have?The podcast currently has 30 episodes available.