Wewe ni mtoto wa Mungu na umebeba baraka na utukufu wa ufalme wa Mbinguni. Kwa hiyo kila unakoenda dhihirisha baraka, wema na utukufu huu. Kuwa chachu ya mafanikio kwa watoto wenzako na familia kwa ujumla.
Kitabu hiki ni mahususi kwa ajili ya watoto wa rika la miaka 6 hadi 12. Kinapatikana kwa lugha za kiingereza na Kiswahili na nyinginezo.
Nakaala moja ni sh.3000 tu!