Je, unajua kama mkristo wewe umezaliwa kwenye ufalme wa Mbinguni na ufalme huu upo ndani yako? Tambua kweli hii leo na anza kuishi kama mwana mfalme na sambaza habari hizi za ufalme kila mahali katika ulimwengu wako wa ushawishi.
Dhamini nakala hizi leo kupitia Lipa namba hii: 8177098 kama mwitikio wa wajibu wako kwenye ufalme.