Maisha Talk

Wanaume wasitese familia zao kwasababu ya starehe zao za aina yoyote ile.


Listen Later

Maisha ya nyumbani ambayo wanaume wanafanya starehe lakini mwisho wa siku wanatesa familia zao, wanaume mkimaliza kufanya starehe zenu mkirudi nyumbani usitese familia yako fikiria familia yako sana, amani upendo wako kwa familia yako udumishe kiasi kwamba watoto wako wasiwe wanatamani maisha ya watoto wengine. Wanawake tupambania furaha ya watoto wenuna cha zaidi sana usiwe unajisahau wewe mwenyewe kwaiyo pambania furaha yako mwenyewe kulikoni kupambania ndoa ambayo haina furaha kabisa, you deserve more than that.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Maisha TalkBy Dede Issangya