Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Inahusu maongezi kuhusu maisha kama maisha, kwenye maisha kuna vitu vingi kama mapenzi, uonevu kwa wanawake, watoto na wanaume pia, biashara, siasa, etc........ more
FAQs about Maisha Talk:How many episodes does Maisha Talk have?The podcast currently has 8 episodes available.
August 13, 2023Different kind of relationship/ aina mbalimbali za mahusianoChoose your relationship wisely, how you want your relationship to be or perceived with others, know exactly what you want. Jua unataka nini katika mahusiano yako...more18minPlay
August 06, 2023Why do people break up?/kwanini watu wanaachana??Kuna sababu mbali mbali za mahusiano kama vile dharau, uaminifu nakadhalika...more11minPlay
March 26, 2023Dalili za kufahamu mpenzi wako anakusalitiKatika mapenzi usaliti upo na nijambo ambalo linaumiza sana sasa basi kama unamfaham mpenzi wako vyema basi utaweza kufaham kama amebadilika, sikiliza episode hii mpaka mwisho upate kujua dalili za mpenzi ambae anakusaliti...more6minPlay
March 20, 2023Uaminifu katika mahusiano ni jambo muhimu sanaKatika mahusiano ni vyema kuaminiana na mahusiano ni ya watu wawili akija watatu jua huyo ni kidudu mtu na ataja waharibia mahusiano yenu bure tu...more11minPlay
January 14, 2023Wanawake tuache tabia za kutegemea wanaume kwa kila jamboWanawake wengi tuko na tabia ya kutegemea wanaume kwa kila jambo lakini pia tunapaswa kujielewa na kujifaham vizur na tuchague ni maisha ya aina gani unataka kuyaishi na tujishughulishe ili kupata vile tunavyovihitaji, the best person to depend on is yourself and you will never be disappointed ever....more13minPlay
February 20, 2021Kusoma alama/signs katika mahusiano.Siku zote watu huwa tupo kwenye mahusiano lakin mahusino hayo huenda yalishaosha kitambo ila tu bado hatuelewi kuwa yameshaisha au bado mtu unalazimisha kuwa kwenye mahusiano ambayo yameshafikia ukingon so e end up with a broken heart every now and then and there's no one to console you because you're the one who chose to suffocate yourself instead of moving on....more20minPlay
June 28, 2020Aina za wanawake ambao wapo katika ndoa na wanaume pia ambao wapo katika ndoaKuna wanaume ambao wanasaliti wake zao na hawajui kwanini wanasaliti wake zao, wanawake wanao jiamini kupitiliza mpaka wanafanya waume zao wawasaliti na mengineyo mengi. Wanaume na wanawake ambao hawajiamini, na ambao hawaeleweki kama wanajiamini au la....more10minPlay
June 26, 2020Wanaume wasitese familia zao kwasababu ya starehe zao za aina yoyote ile.Maisha ya nyumbani ambayo wanaume wanafanya starehe lakini mwisho wa siku wanatesa familia zao, wanaume mkimaliza kufanya starehe zenu mkirudi nyumbani usitese familia yako fikiria familia yako sana, amani upendo wako kwa familia yako udumishe kiasi kwamba watoto wako wasiwe wanatamani maisha ya watoto wengine. Wanawake tupambania furaha ya watoto wenuna cha zaidi sana usiwe unajisahau wewe mwenyewe kwaiyo pambania furaha yako mwenyewe kulikoni kupambania ndoa ambayo haina furaha kabisa, you deserve more than that....more15minPlay
FAQs about Maisha Talk:How many episodes does Maisha Talk have?The podcast currently has 8 episodes available.