Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Vipindi vya wanawake wa Kikristo. Masungumso kuhusu mambo ya maisha. Vipindi vyote ni Kiswahili.... more
FAQs about Wanawake wa Imani:How many episodes does Wanawake wa Imani have?The podcast currently has 13 episodes available.
June 25, 2018Anakupenda kwa sababu alikuumba - Wanawake wa Imani Kip #2Tunafahamu kwamba tuna shida mbalimbali katika maisha yetu. Shida ya uchumi ni rahisi kutambua, na wengi wanapambana kila siku ili wapate hata kidogo tu cha kulisha familia. Kwa nini Mungu haoni hali hii na kunisaidia kama ananipenda?...more33minPlay
June 24, 2018Kupendwa na Mungu - Wanawake wa Imani Kip #1Je, umezingatia kwamba sisi wanawake tunacho kitu kama sanduku mioyoni mwetu. Sehemu inayopaswa kujaa upendo. Ni jinsi Mungu alivyotuumba. Lakini mara nyingi ninasikia utupu hapo, au tuseme nina kiu. Kiu ya kupendwa. Ebu fikiria ungeambiwa maneno matamu haya: “mna thamani mbele yangu, kwa kuwa nimewapa hadhi na kuwapenda.” Haya ni maneno ya Mungu....more32minPlay
June 22, 2018Kupendwa na Mungu - Wanawake wa Imani Kip #1Je, umezingatia kwamba sisi wanawake tunacho kitu kama sanduku mioyoni mwetu. Sehemu inayopaswa kujaa upendo. Ni jinsi Mungu alivyotuumba. Lakini mara nyingi ninasikia utupu hapo, au tuseme nina kiu. Kiu ya kupendwa. Ebu fikiria ungeambiwa maneno matamu haya: “mna thamani mbele yangu, kwa kuwa nimewapa hadhi na kuwapenda.” Haya ni maneno ya Mungu....more32minPlay
FAQs about Wanawake wa Imani:How many episodes does Wanawake wa Imani have?The podcast currently has 13 episodes available.