Dorena Jakobo, "Mama Eliyah", ni mtoto mdogo katika familia yake na amekutana na vikwazo vingi maishani, hata hivyo, baba yake mzazi aliokoka kupitia yeye. Sikiliza na utabarikiwa na ushuhuda wa Dorena Jakobo. Hii ni sehemu ya pili katika ushuhuda wake.