Sign up to save your podcasts
Or

Rhapsodi ya Uhakika, Oct 27, 2020.
Kuishi bila Kristo ni kuishi pasipo Mungu; katika hukumu. Hii ndio maana unalazimika kuwa na bidii katika roho, ukiihubiri Injili (Warumi 12:11). Umetumwa kuipeleka nuru ya Injili kwa wale wenaoishi gizani (Matendo 13:7). Kwa hiyo, usiizuilie; usiwe mwenye kughairi. Kuwa na uthubutu na utambue kuwa wewe ni mwenye dhamana ya ujumbe wenye kuzaa matunda.
By Amedeus D. RaphaelRhapsodi ya Uhakika, Oct 27, 2020.