Amedeus Live Podcast

Wewe ni wa kiungu kama Yesu Alivyo!


Listen Later

Hahahah .... Je unafahamu ukweli kwamba wewe umezaliwa na Mungu, umetokana na Yeye! Wewe sio wa ulimwengu huu! Kwamba umeketishwq pamoja na Kristo mkono wa Kuume wa Mungu Baba, katika ulimwengu wa Roho!?
Kwamba wewe ni mshirika wa tabia na asili ya Mungu, yaani unashiriki katika Uungu kwa mwana wa Mungu!?
Pata nafasi ya kutumia Kinywa chako kuzungumza asili yako ya afya njema na ustawi sawa na kile alichosema Mungu katika neno lake kuhisiana na wewe.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael