
Sign up to save your podcasts
Or


Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST kwenye episode hii tumeongelea, kwanini wanamuziki wengi upendelea kuachia nyimbo au kazi zao za mziki siku ya Ijumaa, Je Kunafaida inapelekea wafanye hivi? je ni kwamba Ijumaa hipo na bless Nyingi Kwa wasaniii, Je Yawezekana Mashabiki ndo upendelea hii siku au ni utaratibu umetokea tu, Vipi Hii kidunia imekaaje na wanaizungumziaja, kwa haya na mengine mengi sikiliza hii episode yetu mpya.
Tupate mtandaoni instagram. https://www.instagram.com/nextmusicuniverse/
Karibu Tuungane na Tujadiri kwa pamoja.
By martineKaribu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST kwenye episode hii tumeongelea, kwanini wanamuziki wengi upendelea kuachia nyimbo au kazi zao za mziki siku ya Ijumaa, Je Kunafaida inapelekea wafanye hivi? je ni kwamba Ijumaa hipo na bless Nyingi Kwa wasaniii, Je Yawezekana Mashabiki ndo upendelea hii siku au ni utaratibu umetokea tu, Vipi Hii kidunia imekaaje na wanaizungumziaja, kwa haya na mengine mengi sikiliza hii episode yetu mpya.
Tupate mtandaoni instagram. https://www.instagram.com/nextmusicuniverse/
Karibu Tuungane na Tujadiri kwa pamoja.