Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine)
Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema namna ya kuishi au staili au mtindo wa maisha, jambo ambalo utofautiana kuringana na mtu husika kwenye maisha yake.
Kwenye Episode hii kutana na ANTIDIUS MARTINE ambaye kwa upnde wake anapenda sana kuangalia mazingira (adventure), kudurusu vitu vipya na kujifunza , kwenye episide hii ameshare nasi EXPERIENCE YAKE JUU YA SAFARI ALIYOIFANYA KWENDA SEHEMU MOJA WILAYA YA KISARAWE inayoitwa PUGU KAZIMZUMBWI.
Kupitia episode hii utaweza kujua mambo mengi ambayo yanapatikana Wlaya ya KISARAWE sehemu ya Ifadhi ya misitu lakini pia sehemu ya UTARII ambayo ata yeye alikuwa suprised saana kuikuta KISARAWE.
Miasha yana maajabu sana na katika maajabu hayo, maajabu mengine yanaweza kuliletea faida Nchi Husika, Nini sasa kinachopatikana Kisarawe kama maajabu? ........ Ungana na Mr Antidius Martine kwenye episode hii, MY KISARAWE EXPERIENCE upate kuyajua mengi yapatikanayo KISARAWE PUGU KAZI MZUMBWI NATURE RESERVE.
🏏Music background by STEKA. Podcaster Antidius Martine
Episode sponsored by ANT-EFRA DESIGN AND STYLISH.