Sign up to save your podcasts
Or

Karibu kwenye episode Yetu hii mpya, Kwenye session 3 ya The power of music beyond entertainment, kwenye session hii tumeongelea kwa undani sana nguvu ya muziki nje ya burudani, kwa kuangazia upande wa siasa.
Kwenye hii episode Tumekaa na Lightness na Vaileth , kuzungumzia kiundani zaidi kuhusu mziki na tasinia kiujumla, kwenye hii episode wamegusa mambo mengi saana , zikiwemo changamoto wanazupitia wasanii wa kike kwenye kuwa mastaa wakubwa wa kimziki, wamezungumzia fashion inavyoenda, wameenda mbali zaidi na kugusia kuhusu mavideo vixens wanavyochukuliwa na jamii, lakini pia wametoa maoni yao juu ya wanavyoliona game la muziki wa Tanzania.
Kwa mengi zaidi Enjoy mazungumzo haya ambayo yapo kukupa wewe furaha na kukuacha na jambo lenye mchango chanya kwenye maisha ya kila siku.
Karibu kwenye episode hii , ambayo inakukutanisha na Molly Passion msanii wa muziki wa Bongo, ambaye anafanya mziki mzuri saana wa kisasa, Kupitia episode hii Molly passion ameweza kuzungumzia mziki na kazi yake ambayo amekuwa akiitilia Nguvu toka akiwa mdogo, Pia anayo kazi mpya ambayo inafanya vyema na ngoma hiyo inaitwa TRUMPET.
Kwenye hii episode ameshare mambo mengi kuhusu mziki wa bongo na experience yake kwenye industry Nzima, utapata kusikia Mengi saana na katika mengi hayo utapata kusikia.
1. Molly Passion ni nani?.
2. Utapata kusikia Kuhusu game na industry nzima ya mziki Tanzania.
3. Utapata Kusikia Hustle za Ma upcoming artist wanavyopata changamoto katika kusogeza kazi zao na kuweza kupata nafasi ya maojiano kwenye vituo vikubwa vya redio.
4. Utapata kusikia Kuhusu Ngoma Ya molly passion ya Go down na mafanikio yake .
5. Utapata kusikia Maoni ya Molly Passion Kuhusu mziki wa Harmonise .
6. Utapata kusikia Maoni ya Molly passion kuhusu watangazaji kuhama Vituo vya redio moja kwenda redio Nyingine .
7. Utapata kusikia Kuhusu drama za wasanii wanao kuja wanapotumia Kiki ili kufikia mafanikio kwa haraka.
8. Utapata Kusikia BEEF kati ya Msanii na Radio presenter Zinavyokwamisha Game ya Bongo .
9. Utasikia kuhusu Kuigana kwa Majina na Slogan katika kufanya mziki usonge Mbele.
10. Utapata Kusikia Kuhusu ngoma Ya Molly passion mpya ya Trumpet.
Kwa mengi saana tufatilie kwenye platforms zetu mitandaoni @nextmusicuniverse utaungana nasi moja kwa moja na kuwa mwanafamilia., Pia mfatilie Molly passion Kwenye mitandao ya kijamii kwa jina lake ilo kote.

Kwenye Episode hii Tumeongelea Nyimbo ambazo wasnii Nguli watatu wameweza kutumia adithi zenye ujumbe mzito na kuweza kuziweka kwenye Ngoma, Kwa namna nyingine Tunaweza kusema wasanii hawa wametumia simulizi ambazo zipo mtaani wa watu wanakumbana nazo kwenye maisha ya kawaida na wao wakaamua kuzitumiakatika Sanaa ya muziki na utunzi wenye mpangilio, hatimaye na wakatuletea ngoma au mziki unao ishi siku zote.
Kwenye part Hii ya Pili, Utaweza kusikia Namna ambavyo msanii Ferooz alivyoweza kuakisi na kusimulia Ugonjwa wa ukimwi na kuweza kuelezea na kufundisha jamii, madhara ya UKIMWI, Pia na kuweza kusambaza elimu kubwa ambayo ilikuwa Haijawafikia wengi san asana kwenye Taifa letu la Tanzania.
Tumeenda mbali Zaidi na kuona Mafanikio ya ngoma hii ambayo Feroozi alishirikiana na Professor Jay na kuweza kuacha Harama kwenye ulimwengu wa Muziki unao tumia simulizi na adithi kufikisha ujumbe.
Pia kwenye episode hii Utapata Kujua wimbo wa nikusaidieje wa Professor Jay pia ulivyotumia nguvu ya adithi na kuleta mapinduzi makubwa ya kifikira kwa wanaume, ya kwamba mwanamke bora anapatikana kijijini wala sio mjini na mambo mengine mengi.
Tumeweza kwenda mbali Zaidi na kuangalia wimbo wa msanii Diamond Platinum Wimbo wa Je Utanipenda, wimbo ambao umepata mafanikio makubwa kutokana nakile alichoweza kuakisi msanii Diamond, sana sana Kwenye upande wa kipato cha mwanaume Pale inapotokea Kutetelekakwenye uchumi na mambo kutokwenda sawa.
Kwa yote haya yameweza kuelezea na kuonesha nguvu ya adithi kwenye muziki, Endapo ikitumika na kuelezewa kwa ufasaa kabisa na Mwanamuziki au mwanafasii anaye ilisha jamii jambo la kusikika na kuweza kuleta mabadiriko.
Karibu kwenye Episode nyingine tena ambapo kwenye hii episode tumezungumzia Nguvu ya adithi na simulizi ndani ya muziki, Tumekuwa tukiona wasanii wengi wakijitaidi kutunga nyimbo mbali mbali zenye jumbe Muhimu sana , lakini kwenye upande wa kupromote na kuwafikishia wasikilizaji, jambo limekuwa tofauti na mtazamo wa wengi, kwenye episode hii Karibu tuanze mazungumzo haya ambayo bila shaka utaweza kuenjoy na kupata jambo jipya, ambalo wewe kama ni msanii na mwandishi unaweza kufaidika na hatimaye ukafikisha kazi yako katika hatua nyingine kubwa .
Karibu upate kusikiliza na kuenjoy episode hii, NMU PODCAST our voice is yours, Tupate mitandaoni @nextmusicuniverse ndo jina pekee tunalopatikana kwenye mitandao ya kijamii.
Kwenye Episode hii, Tumekaa na kupiga story na mmoja wa wanamitindo anayekuja kwa kasi kwenye tasinia ya mitindo au fashion, PYRO POUND ameweza kushare mengi kuhusu mitindo na kuzungumza namna fashion inavyoweza kuchangia katika kumkuza msanii na Muziki wake, Mbali na hayo amezungumzia Pia kuhusu Brand yao ya ALTERNATIVE-CODES kama brand ya Nguo mbali mbali na kwa kuanza wameshazalisha aina mbalimbali za jinzi ambazo tiari zishaanza kupata masoko kwa watu mbalimbali,
Pia ikumbukwe ni Pyro Pound au JAPHET JASSON kama lilivyojina lake la pasipoti, ni Msomi wa mambo ya Bihashara aliyeitimu elimu yake na kupata degree ya Bihashara katika chuo cha Bihashara CBE Dar es salaam, kwa kulitambua ilo pia kwenye hii Episode ameweza kushare mengi kuhusu Bihashara na namna inavyokwenda kwenye Fshion lakini pia kwenye nyanja zote za bihashara.
Pia ameshare mapenzi yake kwenye muziki na kuonesha ni namna gani anvyoupenda mziki lakini pia akagusia mwanamziki anayemwangalia zaidi ambaye ni Diamond .
From the publisher's feed