NMU PODCAST

NMU PODCAST

Download on the App Store

NMU PODCAST episodes

  • THE CONNECTION BETWEEN FASHION AND MUSIC WITH PYRO POUNDS PART ONE

    Kwenye Episode hii, Tumekaa na kupiga story na mmoja wa wanamitindo anayekuja kwa kasi kwenye tasinia ya mitindo au fashion, PYRO POUND ameweza kushare mengi kuhusu mitindo na kuzungumza namna fashion inavyoweza kuchangia katika kumkuza msanii na Muziki wake, Mbali na hayo amezungumzia Pia kuhusu Brand yao ya ALTERNATIVE-CODES kama brand ya Nguo mbali mbali na kwa kuanza wameshazalisha aina mbalimbali za jinzi ambazo tiari zishaanza kupata masoko kwa watu mbalimbali,

    Pia ikumbukwe ni Pyro Pound au JAPHET JASSON kama lilivyojina lake la pasipoti, ni Msomi wa mambo ya Bihashara aliyeitimu elimu yake na kupata degree ya Bihashara katika chuo cha Bihashara CBE Dar es salaam, kwa kulitambua ilo pia kwenye hii Episode ameweza kushare mengi kuhusu Bihashara na namna inavyokwenda kwenye Fshion lakini pia kwenye nyanja zote za bihashara.

    Pia ameshare mapenzi yake kwenye muziki na kuonesha ni namna gani anvyoupenda mziki lakini pia akagusia mwanamziki anayemwangalia zaidi ambaye ni Diamond Platinumz.

    1 hr 18 min

About NMU PODCAST

From the publisher's feed

NMU PODCAST is a digital platform established essentially to present the themes in audio forms and make them available to all internet users either by downloading or listening to them online.