Yesaya Software Podcast

Yesaya Software Update April 25, 2021


Listen Later

Hey mambo vipi,

Asante sana kwa time yako na kuendelea kusikiliza Yesaya Software Podcast. Nilikuwa kimya lakini nimerudi na mipango mingi kwa ajili yako.

Kila jumamosi kutakuwa na episode mpya na tayari nimekwisha kurekodi episode za kutosha kuhakikisha hukosi toleo jipya kila ifikapo jumamosi.

Nimeweka pia video kadhaa kule YouTube kuhusu Jetpack Compose, ninafurahi sana na progress yake.

Ninadhani kuna mambo mengi ninaweza kukujulisha katikati ya wiki na hivyo nitakuwa naweka mara kwa mara Bonus Episode nikikupa update kuhusu Yesaya Software.

Fanya hima sasa pita kule YouTube @yesayasoftware na subscribe sasa.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings