Amedeus Live Podcast

Yesu Kristo - Wasifu wa Mungu


Listen Later

Mgundue Bwana Yesu kwa viwango vya juu zaidi na vipya mbali zaidi ya ulivyokuwa unamdhania au kumfikiria. Yesu ndio wasifu wa halisi wa Mungu. Yesu ndiye taswira ya halisi ya Mungu Baba, ukimwona Yesu umemwona Mungu Baba. Jifunze zaidi katika rhapsodi hii ya leo, toleo ya Watu wazima.
Tafakari kweli hii na itabadilisha maisha yako kabisa.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael