Amedeus Live Podcast

Yeye Yuko Juu ya Yote


Listen Later

Fahamu vizuri kuhusu ukuu wa Bwana Yesu! Utawala wake, mamlaka yake na enzi yake! Fahamu kuhusu Ufalme wake unafika mbali kiasi gani na katika zama zipi!
Maongeo ya enzi yake hayana mwisho, utawala serikali yake ni wa milele.
Hii ni rhapsodi ya Uhakika toleo la watu wazima, Januari 23, 2024.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael