Amedeus Live Podcast

Zoezi Letu


Listen Later

Bwana Yesu alifunua Uungu kwetu kupitia maisha aliyoishi hapa duniani. Alituonyesha fikra ya Mungu Baba, mtazamo wake, mwitikio wake, upendo wake na kila kitu alichofanya kilikuwa ni kudhirisha Haki ya Mungu kwetu.
Leo hii tunakapswa kudhihirisha maisha hayo hayo kila siku iitwayo leo. Jifunze zaidi kupitia Rhapsodi hii ya leo!
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael