Watu wenye asili ya Ivory Coast wanaoishi hapa Marekani hivi karibuni wamefanya sherehe za siku ya uhuru wa taifa lao kwenye kitongoji kimoja cha hapa Washington DC.
Maambukizi ya Covid 19 Duniani yamebadili mifumo ya maisha na jinsi sekta nyingi zinavyoendeleshwa.Hii imelazimu binadamu kubadili jinsi wanavyohusiana na kuendesha shughuli zao japo wanahakikisha wamejifurahisha .
Wiki hii katika Burudani tunamuangalia mwanamuziki Ericka Lulakwa mwenye asili ya kitanzania na mkazi wa San Francisco California. Hivi karibuni Ericka ameangusha wimbo wake mpya kwa jina chereko.
Mchakato wa kutafuta mrembo wa mwaka huu wa Future Face Afrika wakati mashindano yameanza kwa njia ya mtandao yakiongozwa na kampuni moja ya urembo ya Nigeria. Kampuni hiyo Agence France Presse inatufahamisha zaidi kuhusu kutafuta mrembo atakayekuwa uso wa Afrika mwaka huu.
Mwanamuziki maarufu wa Pop wa Marekani Britney Spears wiki hii ameushangaza ulimwengu wa burudani baada ya kufichua kuhusu manyanyaso anayopata kutokana na kuwa baba yake anadhibiti kila anachkifanya maishani.
Ndani ya Zulia Jekundu: Mchezaji wa siku nyingi wa NBA Dikembe Mutombo ni mmoja wa wawekezaji wakubwa wa NBA Africa iliyopewa jukumu la kusimamia mpira wa vikapu barani Afrika.