Leo tunaangazia mchezo wa mpira wa ufukweni huko nchini Burundi. Mchezo huu sio maarufu sana kwa baadhi ya watu ukilinganisha na mpira wa miguu au mpira wa kikapu. Huko Burundi mpira wa ufukweni umeanza miaka 13 iliyopita.
Leo tunaangazia juu ya fursa na ajira kwa vijana nchini Tanzania. Utawasikia vijana wa huko wilayani Rorya mkoani Mara kaskazini-magharibi mwa Tanzania jirani kabisa na mpaka wa Kenya. Kama utakavosikia kwenye mazungumzo yetu, vijana hao wanabainisha ni jinsi gani wameamua kubuni jinsi ya kujipatia kipato kwa njia ya burudani.
Julian Rubavu anaangazia juu ya uhaba wa dagaa wapatikana katika ziwaTanganyika hukoKigoma, Tanzania.
Wenyeji wanasema kuwa dagaa wa Kigomani watamu saana, lakini pia gharama za kuwavua dagaa hao ni kubwa sanaambapo mvuvi anatumia zaidi ya shilingi laki moja na elfu ishirini(120,000). Wenyeji wanasema kuwa sababu nyingine ni zana duni zauvuvi.
Katika makala haya mwanahabari Juliani Rubavu amezuru mwambao wa ziwa Tanyingika, katika kijiji na Ujiji, na kutangamana na wenyeji ambapo ameangazia kwa kina shughuli zao za kila siku.
Katika makala ya juma hili ya Afrika Mashariki, mawanahabari wetu Juliani Rubavu anaangazia hutua ya mataifa ya Afrika mashariki kuwashauri wataalamu wao kutoondoka katika mataifa hayo kutafuta kipato katika mataifa mengine kwa lengo la kuchangia kuimarika kwa uchumi katika mataifa yao.
Leo tunaangazia makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi Elimu ya juu ya pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.
Leo tunaangazia makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi
Elimu ya juu ya pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.
Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Uganda
ambapo tutaangazia vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu.
Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watu
wanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao.
10 min
About Afrika Ya Mashariki
From the publisher's feed
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani…
unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.