Afrika Ya Mashariki

Afrika Ya Mashariki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Afrika Ya Mashariki episodes

  • Ndondi kwa Wanawake nchini Tanzania
    Wakati mchezo wa masumbwi ukizidi kukua kwa kasi katika nchi za afrika mashariki, nchini Tanzania kufanya vizuri kwa mabondia kadhaa wakizazi kipya kama vile Hassan Mwakinyo,Kkarim Mandonga, Twaha Kiduku na wengine kadhalika kumezidi kusisimua wasichana na wanawake kuanza kujikita katika mchezo huu…
    10 min
  • Utunzaji wa vyanzo vya maji
    Leo katika makala ya Afrika Mashariki tunajikita kuangazia namna ambavyo utunzi wa vyanzo vya maji ni muhimu katika jamii haswa kuzuia uharibifu wa mazingirza na uchafuzi wa bahari.
    10 min
  • Wavumbuzi wa sayansi Afrika Mashariki
    Ndoto za wavumbuzi waki sayansi kutoka nchini Tanzania kama walivyo wengine kutoka nchini za ukanda wa Afrika mashari kwa ujumla ni kuhakikisha kuwa wanazalisha au kuvumbua vifaa ambavyo vinautambulisho wa mataifa yao
    10 min
  • Vijana na Ufundi wa vyombo vya moto
    Makala ya Afrika mashariki wiki hii yanaangazia vijana walio jitupa katika kazi ya ufundi wakutengeneza vyombo vya moto nchini Tanzania ni nini sababu ya wao kuingia katika kazi hii ya yapi matarajio yao kwa siku za usoni .
    10 min
  • Rais Samia aruhusu vyama vya upinzani kufanya mikutano ya siasa
    Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tuna tuama nchini Tanzania kuangaza na kulika kuanza tena kwa mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini humo nini matarajio na mapokeo ya wafuatilizi wa maswala ya siasa katika taifa hili lililo shuhudia ukimya wa miaka saba yakutofanyika kwa mikutano ya hadhara mwandalizi na msimulizi wa makala haya naitwa Martin Nyoni nasema karibu jamvini tuwe sote hadi tamati .
    10 min
  • Changamoto za wagonjwa wa ukoma nchini Tanzania
    Tunaangazia juu ya kituo cha wagonjwa wa ukoma na vikongwe kilichoko Kolandoto, mkoani Shinyanga, Tanzania. RFI imefika kituo cha Kolandoto ambapo kituo hicho kilichojengwa mwaka 1914 maalumu kwa wagonjwa wa Ukoma, leo hii kituo hicho kimegeuka kimbilio la vikongwe wanaotuhumiwa kwa uchawi ili wasiuawe na jamii inayowazunguka.
    10 min
  • Changamoto za usalama barabarani nchini Tanzania
    Leo tunaangazia juu ya  changamoto za usalama barabarani nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee utawasikia wadau mbalimbali wa vyombo vya moto huko mkoani kagera wakiangazia changamoto walizonazo ikiwezo ukosefu wa mafunzo ya utambuzi wa alama za barabarani lakini pia kutojua sheria za barabarani kwa madereva na abiria.
    10 min
  • Kupambana na ulanguzi wa binadamu Afrika Mashariki
    Leo tunaangazia juu ya mapambano dhidi ya biashara, unyonywaji na usafirishaji binadamu kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Kwa mjibu wa mtaalamu wetu Bi. Winnie Mtevu kutoka Nairobi Kenya, vitendo hivo viovu dhidi ya binadamu vinafanywa ndani na hata nje ya mipaka ya nchi husika,  ikiwa  ni kinyume kabisa na haki za binadamu.
    10 min
  • Matukio makubwa yaliyotokea mwaka 2021 Afrika Mashariki na Kati
    Leo tunaangazia sehemu ya pili na ya mwisho ya baadhi ya makala zilizoletwa kwako mwaka uliopita wa 2021. Baadhi yake ni pamoja na utengenezaji wa nishati mbadala nchini Tanzania,  uhusiano baina ya Burundi na Rwanda, wanafunzi kuagizwa kuni shule za msingi Tanzania, pia pendekezo la kuundaa mkoa mpya wa Chato nchini Tanzania.
    10 min

About Afrika Ya Mashariki

From the publisher's feed

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani…

More shows like Afrika Ya Mashariki

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners