Aryna Sabalenka ashinda taji la Australian Open 2023
Aryna Sabalenka kutoka Belarus ndio mshindi wa taji la Australian Open katika mchezo wa Tennis, baada ya kumshinda Elena Rybakina kutoka Kazakhstan kwa seti, 6-4 ,3-6 na 6-4, katika fainali iliyochezwa siku ya Jumamosi katika mji wa pwani wa Melbourne. Tunachambua hili na mengine mengi.