Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Asteria Connects is a podcast hosted by Asteria Mvungi, which shines a light on matters concerning Health (Mental Health and Nutrition) Socio-economic welfare and Spirituality.... more
FAQs about ASTERIA CONNECTS:How many episodes does ASTERIA CONNECTS have?The podcast currently has 11 episodes available.
February 02, 2021NILIPATA CORONA IN 2020, THIS IS MY STORYApril 2020, niliambukizwa virusi vya COVID-19. Leo nime amua ku share experience yangu, naamini itamsaidia mtu..Usiache ku share na family and friends. #AsteriaConnects. Follow us on Instagram @asteriaconnects...more15minPlay
December 01, 2020HII NI KWA WENYE TATIZO LA KUKOSA USINGIZIKwenye Episode ya Leo Nimeungana na Dr Ivetha Mussiba pamoja na Dr Sia Maleko ambao wamenisaidia kuelewa zaidi kuhusiana na swala la kukosa usingizi muda wa usiku, (Insomnia) Kuhusu visababishi, madhara, pamoja na tiba. #AsteriaConnects...more37minPlay
November 24, 2020HIVI VYAKULA VINACHANGAMSHA AKILINimeungana na Haika Mremi (mtaalamu wa lishe ) ili kujifunza machache kuhusiana na Namna sahihi ya tunavyopaswa kula tukiwa kama vijana ambao tuna jukumu la kufikiria vizuri na kuwa wachangamfu kichwani. Niandikie maoni yako kuhusiana na mada ya Leo kupitia Instagram @asteriaconnects @asteriaofficialtz...more35minPlay
November 17, 2020HII TABIA INAONGEZA FURAHATabia hii imethibitishwa na Vitabu vya dini, Sayansi na Saikolojia kuwa endapo itatumika inaweza kuwa chanzo cha kuongeza furaha kwenye maisha....more28minPlay
October 27, 2020SELF LOVE /KUJIPENDAEpisode ya Leo tunazungumzia kuhusu KUJIPENDA, kujitambua, na Namna tunavyoweza kuyapa thamani maisha yetu kwa ujumla....more48minPlay
October 20, 2020MAISHA NJE YA TZ (DIASPORA)Ikiwa Una ndoto Za kuishi nje ya Nchi, episode ya Leo itakusaidia kufahamu mambo ya msingi ya kuzingatia na ili kufikia malengo yako. Usiache kushare hii Link na marafiki zako. -Aste...more48minPlay
October 13, 2020KUKABILIANA NA MAJUTO/ REGRETSTunakosea mara nyingi, ni Namna gani tunaweza kujisamehe ili tuweze kuendelea na maisha?...more19minPlay
October 06, 2020KUSAMEHE/FORGIVENESSKama binadamu, Tunakosea na kukosewa mara nyingi. Kwenye part ya kwanza Leo tunazungumzia juu ya Msamaha. Tunawezaje kusamehe tunapokosewa? Kuna umuhimu gani katika kusamehe? Share na marafiki na ndugu zako. Wote Tunahitaji kujua zaidi....more18minPlay
September 29, 2020TODAY WE’RE TALKING ABOUT SOCIAL INSECURITIESTunaishi kwenye ulimwengu ambao maisha/ mafanikio ya watu wengine yanaweza kuwa chanzo cha sisi kukosa furaha/ tumaini na Imani. Tunawezaje kuyachukulia mafanikio ya watu wengine kama motisha na sio tishio kwetu....more17minPlay
September 21, 2020OWN YOUR LIFE- IN SWAHILI & ENGLISHKuna vitu vingi tunavichukulia Poa bila kujua kwamba vina umuhimu sana kwenye maisha yetu. Ukisikiliza hapa utanielewa namaanisha nini. ❤️...more4minPlay
FAQs about ASTERIA CONNECTS:How many episodes does ASTERIA CONNECTS have?The podcast currently has 11 episodes available.