Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Chahali Podcast:How many episodes does Chahali Podcast have?The podcast currently has 99 episodes available.
March 11, 2021Exclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na KoronaExclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona...more17minPlay
March 08, 2021"Paka Mwenye Roho Tisa" ( a Proverbial Cat With Nine Lives)Mara kadhaa nimekuwa nikitumia msemo "paka mwenye roho tisa" (a cat with nine lives). Je msemo huo una maana gani?...more6minPlay
March 05, 2021#JinsiYaKuwaMtuBora: Kanuni 10 Za Muhimu MaishaniKuna wanaosema maisha hayana kanuni. Lakini pia kuna wanaosema kanuni za maisha zipo zaidi ya mia, ilhali wengine wakidai zipo elfu na kitu. Yote katika yote, suala la muhimu sio kanuni hizo zipo ngapi bali ufanisi wake katika kukufanya uwe mtu bora. Hizi 10 katika episode hii zaweza kuwa na msaada mkubwa kwako....more12minPlay
March 04, 2021#SikuYaKitabuDuniani: Jasusi Wako Ambaye Ameshachapisha Vitabu 12 Anaeleza Jinsi Ya Kuandika KitabuKatika maadhimisho ya #SikuYaKitabuDuniani, Jasusi wako anakupatia ushauri wa bure kuhusu jinsi ya kuandika kitabu....more9minPlay
March 01, 2021Heri Ya Mwezi Mpya Wa Machi: Fahamu Mbinu Hii Kila Uanzapo Wakati (Saa/Siku/Wiki/Mwezi/Mwaka) MpyaMbinu husika inahusiana na falsafa ya Stoicism, ambayo nayo nitaitafutia muda maalum wa kuieleza kwa upana. Na katika Stoicism kuna kitu kinachofahamika kama "Premeditatio Malorum," kwa kimombo "the premeditation of the evils and troubles that might lie ahead." Kwa tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili ni ile hali ya kuwa na utambuzi wa mambo mabaya yanayoweza kutokea huko mbeleni....more5minPlay
February 26, 2021Jinsi Wema Unavyoweza Kuzaa Majanga: Mfano Hai Kutoka Tukio Moja La Maisha Yangu Huko KitengoniDunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni....more11minPlay
February 25, 2021Leo Ni Miaka Mitatu Kamili Tangu Haramia Musiba Anitaje Mie Na Wenzangu Kadhaa Kuwa WATU HATARITarehe 25.02.2018, siku kama ya leo, miaka mitatu iliyopita, mbwa wa Magufuli, haramia Musiba, alinituhumu jasusi wako na watu wengine kadhaa kuwa ni WATU HATARI kwa usalama wa taifa, na kudai tulikuwa tukitumiwa na FBI kutaka kumpindua Magufuli...more10minPlay
February 25, 2021Twitter Mbioni Kuanzisha Utaratibu Wa Kulipia Twiti, DMs Zenye SautiMtandao wa kijamii wa Twitter unatarajia kuanzisha features mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kulipia twiti za watu maalum...more5minPlay
February 24, 2021Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference JanaMagufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana Februari 23, 2021...more7minPlay
February 21, 2021Exclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae BarakoaExclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae Barakoa...more10minPlay
FAQs about Chahali Podcast:How many episodes does Chahali Podcast have?The podcast currently has 99 episodes available.