
Sign up to save your podcasts
Or


Ripoti ya maandamano yanayoendelea nchini Tanzania. Hii ni ripoti kuhusu yaliyojiri 29/10/2025
Kitendo cha baadhi ya masista wa kanisa katoliki kuonekanakwenye kampeni za CCM wakiwa wamembeba bendera za chama hicho pamoja na picha za mgombea wake wa urais wa chama hicho Samia Suluhu Hassan, kimepelekea mtafaruku mkuu ndani ya Kanisa Katoliki
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu amekataa ofa ya serikali kwamba akubali kwenda kuishi uhamishoni kama sharti la kumfutia kesi ya uhaini waliyombambikia.
Maafisa Usalama Wanne Wa TANZANIA Wakamatwa Marekani, Walienda Kudhuru Wakosoaji wa Serikali na Wanaokisapoti Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Tundu Lissu
Maafisa Usalama WANNE Wa Tanzania Wakamatwa Marekani, Walienda Kuwadhuru Wakosoaji wa Serikali na Wanaoikiunga Mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti Wake TUNDU LISSU Ambaye Yupo Gerezani Akikabiliwa Na Kesi ya UHAINI.
Unaweza pia kuangalia video HAPA
From the publisher's feed

191 Listeners