Chahali Podcast

Chahali Podcast

By Evarist ChahaliNews
Download on the App Store

Chahali Podcast episodes

  • Ubashiri Tanzania 2026

    Ubashiri Kuhusu Yatakayojiri Mwaka Huu 2026 | SAMIA Hatoumaliza Madarakani


    Video kamili ipo hapa https://youtu.be/1JqbBG74LZ4

    16 min
  • Hatari Kubwa

    HATARI KUBWA! Mipango ya Mauaji Yawekwa Hadharani


    Video kamili ipo hapa https://youtu.be/oxKIW0Tgmvo

    11 min
  • SAMIA Ashinda Tuzo ya DIKTETA WA MWAKA 2025

    SAMIA SULUHU HASSAN ameshinda tuzo ya kimataifa ya dikteta wa mwaka 2025, habari hii ni miongoni mwa LATEST NEWS zinazo trend nchini Tanzania na kote AFRICA. Video hii inachambua kwa undani ushindi huu na pia inazungumzia mkutano mkuu wa Watanzania unaojadili mikakati muhimu. Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi za TRENDING.


    Video kamili ipo hapa https://youtu.be/40-ATVQ5DHg

    11 min
  • Mpasuko Mkubwa

    BREAKING! Mpasuko Mkubwa SANA Serikali ya SAMIA | Yaanza Kumong'onyoka

    Video kamili ipo hapa https://youtu.be/Uf__2N5m7cg

    23 min
  • SAMIA vs Kanisa Katoliki

    SAMIA SULUHU HASSAN ameendeleza vita yake dhidi ya Kanisa Katoliki ambapo jana alituma genge la waandamanaji kwenda Ubalozi wa Vatican kulalamika dhidi ya viongozi wa Kanisa hilo. Miongoni mwa waandamanaji hao walikuwa waumini wa dini ya Kiislamu lakini waliojifanya ni Wakatoliki.


    14 min
  • Samia na Mabilioni ya Maridhiano

    Fedha ndefu imemwagwa na SAMIA SULUHU HASSAN kwa ajili ya kuwarubuni watu mbalimbali wakubali mpango wa maridhiano. Miongoni mwa wanaowindwa kwenye hilo ni viongozi waandamizi wa Chadema japo tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Mheshimiwa John Heche ameshatoa msimamo wa chama hicho dhidi ya maridhiano. Pia kuna mpango haramu wa kugushi ridhaa ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu aliyeko gerezani kwa mashtaka ya uhaini.

    Video kamili ipo hapa https://youtu.be/81fVXxv5G_U

    10 min
  • Trump, Maduro na SAMIA

    Wakati Rais DONALD TRUMP wa Marekani amemkamata Rais Nicolas MADURO na mkewe hapo jana, Mtanzania Thadei Kweka mwenye makazi yake nchini Marekani ambaye alikamatwa majuzi na kubambikiwa kesi ya uchocezi, ameachiwa huru jana. Hatua hiyo imetafsiriwa na wengi kama hofu ya SAMIA kufuatia kilichompata Maduro hapo jana.


    Video kamili ipo hapa https://youtu.be/bZeeT8uDN8o

    12 min
  • Maria Sarungi Anusurika Kutekwa

    Mwanaharakati maarufu MARIA SARUNGI amenusurika kutekwa nchini Kenya baada ya WASIOJULIKANA kuripotiwa kuwemo nchini humo wakimuwinda mwanaharakati huyo. Taarifa zinaeleza kuwa Wasiojulikana hao walitumwa na SAMIA.Makala pia inagusia sintofahamu iliyoibuka baada ya Askofu Josephat Gwajima kujitokeza kwenye mkesha wa Mwaka Mpya uliofanyika kwenye Kanisalake la Ufufuo na Uzima

    Video kamili ipo hapa https://youtu.be/UajMzIjU4Mg

    12 min
  • Hotuba Ya Samia Yazua Mtafaruku

    Hotuba ya SAMIA SULUHU HASSAN kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka mpya 2026 imezua mtafaruku mkubwa. Wakati huohuo, mkakati muhimu wa kumng'oa umekumbwa na changamoto

    Video kamili ipo hapa https://youtu.be/7krXtF0nH64

    13 min

About Chahali Podcast

From the publisher's feed

Maongezi ya Chahali

More shows like Chahali Podcast

Unhedged by Financial Times

Unhedged

191 Listeners